Programu ya Ukaguzi wa ELE ya Mzazi
Mpendwa Mzazi au Mlezi,
Ukaguzi wa kawaida wa programu ya shule yako ya Elimu ya mwanafunzi wa Kiingereza unafanywa na Idara ya Elimu ya Msingi na Sekondari (DESE). Majibu yako kwa maswali yaliyo hapa yatasaidia kubaini ni kwa kadiri gani shule ya mtoto wako inafikia matakwa ya jimbo na nchi.Majibu na /maelezo yako yatawekwa siri kabisa.
Ripoti itatayarishwa na DESE kwa msingi wa ziara kwa shule ya mtoto wako na maoni kutoka kwa wazazi kama wewe. utakapoomba, utapata ripoti hii kutoka kwa wilaya ya shule yako au kutoka kwa DESE. Kwa kuwa idadi ya wazazi wanaopokea ukaguzi huu ni ndogo, ni muhimu sana utoe majibu yako haraka iwezekanavyo.
Ikiwa una maswali au unahitaji msaada kukamilisha ukaguzi huu, unaweza kupiga simu kwa (781) 338-3569. Asante sana kwa msaada wako wa kufanikisha mchakato huu wa ukaguzi wa programu.
Mwaminifu,
Idara ya Elimu ya Msingi na Sekondari
Ofisi ya Kufunza Lugha
75 Pleasant Street
Malden, MA 02148