Skip survey header
Swahili

Fomu ya Kuripoti Matokeo ya Kipimo cha Kujifanyia cha COVID-19 ya Vermont

Tumia fomu hii kuripoti matokeo ya kipimo ulichojifanyia cha COVID-19 ukiwa nyumbani, pia hujulikana kama kipimo kinachofanywa bila maagizo ya daktari au kujipima mwenyewe. Jibu lako ni la siri, na kuripoti matokeo yako ya kipimo husaidia Idara ya Afya kuelewa ni wakaazi wangapi wa Vermont wanaopimwa COVID-19 na jinsi virusi hivyo vinavyoenea katika jamii zetu.
Jina la Mtu Aliyepimwa *This question is required.
Tafadhali tumia muundo wa MWEZI/SIKU/MWAKA. This question requires a valid date format of MM/DD/YYYY.
calendar
Anwani ya Nyumbani na Nambari ya Simu ya Mtu Aliyepimwa
Tafadhali ingiza jina la kipimo kama linavyoonekana kwenye kisanduku.
This question requires a valid date format of MM/DD/YYYY.
calendar
Matokeo ya Kipimo *This question is required.
Matokeo ya kipimo chako ni chanya. Tafadhali tembelea www.healthvermont.gov/covid19positive kwa taarifa za hatua za haraka za kuchukua ili kujilinda na kuwalinda wengine.
Matokeo ya kipimo chako ni hasi. Ikiwa una dalili na kipimo ulichofanya kilikuwa kipimo cha antijeni, unashauriwa uthibitishe matokeo haya kwa kutumia kipimo cha PCR. Tafadhali tembelea https://www.healthvermont.gov/testing ili upate eneo la kufanyia kipimo cha COVID-19 bila malipo.
Matokeo ya kipimo chako sio wazi au ni batili. Unashauriwa upime tena.