Skip survey header
Kiswahili

Completed Food Vendor CSS

Asante kwa kukamilisha mafunzo yetu ya usalama wa chakula kwa wauzaji. Tafadhali jaza dodoso hili ili utusaidie kuboresha mafunzo yetu. 
2. Tafadhali onyesha ni kwa kiasi gani unakubaliana na kauli zifuatazo kuhusu mafunzo.   *Required
Space Cell sikubaliani kabisasikubaliani kwa kiasi fulanisikubaliani wala sikatainakubaliana kwa kiasi fulaninakubaliana kabisa
Ilikuwa rahisi kupata nyenzo za mafunzo.
Nyenzo za mafunzo zilikuwa rahisi kuelewa.
Nyenzo za kielimu zilinisaidia kukamilisha kwa mafanikio tathmini iliyoambatana na mafunzo.
Niliridhishwa na uzoefu wa mafunzo.
3. Je, lugha unayopendelea ilipatikana katika mafunzo?    *Required
4. Je, ni lugha gani ungependelea?