Skip survey header
Modi ya Mwonekano wa Chini Swahili

North Dakota Specially Designed Services Utafiti wa Wazazi

Huu ni utafiti wa familia zilizo na watoto kwenye gredi K-12wanaopata huduma za elimu maalum. Hii ni nafasi yako kutoa maoni ili kuboresha huduma na matokeo ya watoto na familia zinazoishi North Dakota. Majibu yako ni muhimu sana kwetu. Asante kwa kutenga muda kukamilisha utafiti huu!

Huenda ukawa tayari umeukamilisha utafiti huu (kwa mfano baada ya mkutano wa IEP wa mtoto wako au tukio jingine). Ikiwa tayari umeukamilisha utafiti huu wa mwaka wa shule wa 2023-24, tafadhali usiukamilishe tena.

Ikiwa una mtoto zaidi ya mmoja anayepata huduma za elimu maalum katika gredi K-12: Shule inapaswa iwe imebainisha mtoto ambaye unahitaji kumkamilishia utafiti. Ikiwa huna uhakika wa mtoto, tafadhali wasiliana na shule.

Lugha za ziada zinapatikana:
  • Ili kufikia utafiti kwa Kiswahili, teua Kiswahili kwenye menyu kunjuzi katika kona ya juu kulia kwa utafiti wa mtandaoni.

Ikiwa una swali lolote au unahitaji muundo mbadala au usaidizi wa kukamilisha utafiti, wasiliana na:
Allison Miller, 701-328-4687
NDDPI, Mratibu wa Elimu Maalum wa Kanda
Teua kitengo na wilaya ya elimu maalum: *This question is required.