Skip survey header
Swahili

Fomu ya Kuripoti Matokeo ya Kipimo cha Kujifanyia cha COVID-19 ya Vermont

Tumia fomu hii kuripoti matokeo ya kipimo ulichojifanyia cha COVID-19 ukiwa nyumbani, pia hujulikana kama kipimo kinachofanywa bila maagizo ya daktari au kujipima mwenyewe. Jibu lako ni la siri, na kuripoti matokeo yako ya kipimo husaidia Idara ya Afya kuelewa ni wakaazi wangapi wa Vermont wanaopimwa COVID-19 na jinsi virusi hivyo vinavyoenea katika jamii zetu.
Jina la Mtu Aliyepimwa *This question is required.
Tafadhali tumia muundo wa MWEZI/SIKU/MWAKA. This question requires a valid date format of MM/DD/YYYY.
calendar
Anwani ya Nyumbani na Nambari ya Simu ya Mtu Aliyepimwa
This question requires a valid date format of MM/DD/YYYY.
calendar
Matokeo ya Kipimo *This question is required.